ANGALIA JINSI ILIVYOKUWA KATIKA UTENGENEZAJI WA KI BOTTLE CHA MY NUMBER ONE REMIX “Diamond Platnumz and Davido in studio Making No1 Remix Audio” on YouTube


Umeshasikiliza audio na kuona video ya Number one remix, huu ni wakati wa kuona video ya jinsi wimbo huo ulivyokuwa unarekodiwa chini ya producer Tuddy Thomas. Kwenye hii video utaona jinsi Davido akielekezwa kuimba maneno ya kiswahili na story nyingine zikiendelea ndani ya studio. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Advertisements Continue reading ANGALIA JINSI ILIVYOKUWA KATIKA UTENGENEZAJI WA KI BOTTLE CHA MY NUMBER ONE REMIX “Diamond Platnumz and Davido in studio Making No1 Remix Audio” on YouTube