VIDEO: “Davido US Tour New York Show Davido Issues Apology” on YouTube


Ijumaa iliyopita Star wa Nigeria
Davido alikuwa anatarajiwa kufanya
show New York, Marekani show
ambayo imeacha historia ya kupata
watu nyomi kiasi cha kusababisha
hadi polisi wa New York kuingilia kati
na kuifunga kwa sababu za
kiusalama kutokana na wingi wa
watu.
Show ya New York ndio ilikuwa ya
kwanza katika tour yake ya Marekani
na Canada, na hiki ndicho
alichokiandika Instagram baada ya
show hiyo kuzuiwa na polisi.
“Damn! My NY was too packed,
police shut it down! The love and
support that came out was
overwhelming!!! I will be back! Really
Sad!”
Tazama video (hapo juu) ya jinsi
show hiyo ya New York ilivyojaa
watu pamoja na Davido akiomba
radhi mashabiki wake wa New York
kwa kile kilichotokea.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy