ANGALIA JINSI ILIVYOKUWA KATIKA UTENGENEZAJI WA KI BOTTLE CHA MY NUMBER ONE REMIX “Diamond Platnumz and Davido in studio Making No1 Remix Audio” on YouTube


Umeshasikiliza audio na kuona video ya Number one remix, huu ni wakati wa kuona video ya jinsi wimbo huo ulivyokuwa unarekodiwa chini ya producer Tuddy Thomas. Kwenye hii video utaona jinsi Davido akielekezwa kuimba maneno ya kiswahili na story nyingine zikiendelea ndani ya studio. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Advertisements Continue reading ANGALIA JINSI ILIVYOKUWA KATIKA UTENGENEZAJI WA KI BOTTLE CHA MY NUMBER ONE REMIX “Diamond Platnumz and Davido in studio Making No1 Remix Audio” on YouTube

#SONGLYRICS: JAH LIVE BY BOB MARLEY


Jah live! children yeah! Jah-Jah live! children yeah Jah live! children yeah! Jah-Jah live! children yeah The truth is an offense but not a sin! Is he who laugh last, children! Is he who win Is a foolish dog bark at a flying bird! One sheep must learn, children! To respect the sheperd! Jah live! children yeah! Jah-Jah live! children yeah! Jah live! children yeah … Continue reading #SONGLYRICS: JAH LIVE BY BOB MARLEY

VIDEO: TANGAZO LILILOFANYIKA NDANI YA NDEGE YA FLY EMIRATES LA Cristiano Ronaldo & Pele ::::: commercial for Fly Emirates and FIFA World Cup 2014″ on YouTube


Straika hatari wa Real Madrid, mreno Crstiano Ronaldo mapema jana ametajwa kuwa balozi mpya wa shirika la ndege la Emirates ambao ni wadhamini wakuu wa klabu ya Madrid inayoshirki ligi kuu ya Hispania ‘La Liga’. Kwa kuanzia, Ronaldo ameungana na mchezaji mkongwe wa zamani wa Brazil, Pele kwa kushiriki kwenye tangazo la biashara la ndege ya Emirates lililofanyika angani kwa ajili ya michuano mikubwa ya … Continue reading VIDEO: TANGAZO LILILOFANYIKA NDANI YA NDEGE YA FLY EMIRATES LA Cristiano Ronaldo & Pele ::::: commercial for Fly Emirates and FIFA World Cup 2014″ on YouTube