TRACK YA Alicia Keys – IITWAYO It’s On Again ft. Kendrick Lamar ITAKUA KUWA SOUNDTRACK KATIKA MOVIE YA AMAZING SPIDER MAN 2: (Single Radio Edit) by AliciaKeys on SoundCloud


Baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu, mwanamuziki mrembo, Alicia Keys ametoa nyimbo mpya inayoitwa ‘It’s on again’ akiwa amemshirikisha rapa Kendrick Lamar ambayo itatumika kama kibwagizo ‘SoundTrack’ katika filamu ya amazing Spider 2 . Nyimbo hiyo imetengenzwa na producer mwanamuziki, Pharrell Williams. kwa sasa Alicia yupo studio akijiandaa kuachia albamu yake ya sita. Isikilize hapo chini…. http://soundcloud.com/aliciakeys/its-on-again-ft-kendrick-lamar Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading TRACK YA Alicia Keys – IITWAYO It’s On Again ft. Kendrick Lamar ITAKUA KUWA SOUNDTRACK KATIKA MOVIE YA AMAZING SPIDER MAN 2: (Single Radio Edit) by AliciaKeys on SoundCloud

YAHSUH ITYOPPIA: ITYOPPIA YAHSUH, ALEHU ITYOPPIA.


ኢትዮጵያ በአረንጓዴ ቀለም ዋና ከተማ አዲስ አበባ ብሔራዊ ቋንቋዎች አማርኛ ሌሎች ቋንቋዎች ክልላዊ ዕውቅና አላቸው መንግሥት ፕሬዝዳንት ጠቅላይ ሚኒስትር ፌዴራላዊ ሪፐብሊክ ዶ/ር ሙላቱ ተሾመ ኃይለማርያም ደሳለኝ የመሬት ስፋት አጠቃላይ (ካሬ ኪ.ሜ.) ውሀ (%) 1,104,300 ( 27ኛ ) 0.7 የሕዝብ ብዛት የ፳፻ ዓ.ም. ግምት የ፲፱፻፺፱ ዓ.ም. ቆጠራ 79,221,000 ( 15ኛ ) 73,918,505 ገንዘብ ብር የ ሰዓት ክልል UTC +3 የስልክ መግቢያ 251 ከፍተኛ ደረጃ ከባቢ .et … Continue reading YAHSUH ITYOPPIA: ITYOPPIA YAHSUH, ALEHU ITYOPPIA.

GOOD WORK DIAMOND, DIAMOND KUSHIRIKISHWA NA WAJE TOKA NIGERIA: PIA WAJE ASEMA DIAMOND NI SUPER ,PIA NI VERY TALENTED. “Waje – I Wish [Official Video]” on YouTube


Kismati cha Diamond Platnumz kinazidi kuongezeka. Na sasa muimbaji wa kike anayeaminika kuwa maarufu na mwenye kipaji zaidi nchini Nigeria, Waje amemzungumzia staa huyo wa Tanzania kuwa ni mtu mnyenyekevu mwenye nidhamu kubwa ya kazi. “Met this amazing brother yesterday, humble nd such an inspiration,his work ethic is super. # africanlegendsmakingmusic @ diamondplatnumz the talent eh. Thanks so much for this honour,” ameandika Waje kwenye … Continue reading GOOD WORK DIAMOND, DIAMOND KUSHIRIKISHWA NA WAJE TOKA NIGERIA: PIA WAJE ASEMA DIAMOND NI SUPER ,PIA NI VERY TALENTED. “Waje – I Wish [Official Video]” on YouTube

MAREKANI WATUNGA SHERIA KALI JUU YA VIJANA WA KIUME WANAOPIGA MLEGEZO (SAGG )


Jimbo la Lousiana nchini Marekani limepitisha sheria itakayowabana vijana au mtu anayevaa suruali chini ya makalio. Sheria hiyo inasema kuwa kijana atakayevaa suruali chini ya makalio kwa mara ya kwanza akikamatwa atapigwa faini ya Dola 50,na akikamatwa kwa mara ya pili atapigwa faini ya Dola 100. Mpaka kupitishwa kwa sheria hii imeonekana kuwa Melgezo ni tatizo kubwa kwenye Jimbo hilo na ilifikia wakati vijana wanavaa … Continue reading MAREKANI WATUNGA SHERIA KALI JUU YA VIJANA WA KIUME WANAOPIGA MLEGEZO (SAGG )