KIPANDE CHA DIAMOND AKIIMBA KATIKA TRACK YA Cocoa na Chocolate : = D with seven country” on YouTube


image

Maneno yanaumba !!! kwa jitihada
zake Diamond Platnumz kama
alivyosema kwamba ni lazima
Wanigeria watamtambua time hii na
kweli ndio inatokea hivyo.
Baada ya kuthibitisha kwamba
atafanya kolabo kadhaa Lagos
Nigeria Zikiwemo mbili za D’Banj na
msanii wake, kazi imeanza
kuonekana siku mbili baada ya
kutua.
Diamond ameanza na hii ya kurekodi
na Mnigeria mwingine mrembo
aitwae Waje, unaweza ukatazama
hiki kipisi hapa chini👉👉👉

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements