MAREKANI WATUNGA SHERIA KALI JUU YA VIJANA WA KIUME WANAOPIGA MLEGEZO (SAGG )


image

Jimbo la Lousiana nchini Marekani
limepitisha sheria itakayowabana
vijana au mtu anayevaa suruali chini
ya makalio.
Sheria hiyo inasema kuwa kijana
atakayevaa suruali chini ya makalio
kwa mara ya kwanza akikamatwa
atapigwa faini ya Dola 50,na
akikamatwa kwa mara ya pili
atapigwa faini ya Dola 100. Mpaka
kupitishwa kwa sheria hii
imeonekana kuwa Melgezo ni tatizo
kubwa kwenye Jimbo hilo na ilifikia
wakati vijana wanavaa hivyo ata
kwenye ofici kubwa za serikali kama
Mahakamani.
UNAONAJE BONGO TUKIWEKA SHERIA HIYO?  COMMENT HAPO CHINI

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements