ORODHA MPYA YA TOP 10 STYLISH MEN BAADA YA DAVID BECKHAM KUTOKA KATIKA ORODHA HIYO.


image

Hii ni orodha ya watu maarufu wenye
muonekani mzuri na wanapendeza
kwenye mitindo tofauti ya mavazi
Marekani. David Beckham amekuwa
akiongeza orodha hii kwa muda sasa
na ndio nafasi iliyompa matangazo
mengi ya mavazi tofauti likiwemo
vazi la ndani la kiume.
Nafasi hii imechukuliwa na star wa
Muziki Justin Timberlake na orodha
hii imetengenezwa na Fashion One
Television

image

1. Justin Timberlake
2. David Beckham
3. Ryan Gosling
4. Harry Styles
5. Pharrell Williams
6. Tom Ford
7. James Franco
8. David Gandy
9. Kanye West
10. Bradley Cooper

Posted from WordPress for Android,by hailedavy