ORODHA MPYA YA TOP 10 STYLISH MEN BAADA YA DAVID BECKHAM KUTOKA KATIKA ORODHA HIYO.


Hii ni orodha ya watu maarufu wenye muonekani mzuri na wanapendeza kwenye mitindo tofauti ya mavazi Marekani. David Beckham amekuwa akiongeza orodha hii kwa muda sasa na ndio nafasi iliyompa matangazo mengi ya mavazi tofauti likiwemo vazi la ndani la kiume. Nafasi hii imechukuliwa na star wa Muziki Justin Timberlake na orodha hii imetengenezwa na Fashion One Television 1. Justin Timberlake 2. David Beckham 3. … Continue reading ORODHA MPYA YA TOP 10 STYLISH MEN BAADA YA DAVID BECKHAM KUTOKA KATIKA ORODHA HIYO.

VIDEO making: “Behind the Scenes ” WANATETEMEKA ” Queen Darleen f” on YouTube


Hii itakua ni video ya kwanza kwa ndugu wa damu Diamond Platnumz na Queen Darleen kuonekana kwenye video moja ambayo ni video ya Queen Darleen ya wimbo wake wa Wanatetemeka,uzinduzi wa video hii utakuwa ni April 06 Club Bilicanas. Miongoni mwa wasanii wa bongo flava watakaosindikiza uzinduzi huu ni pamoja na Dully Sykes,Mwasiti,M-Rap, Pimp Sitta,Recho,Linah,Barnaba,Amini na wengine wengi kama surprise kwenye Show hiyo pia kutakuwa … Continue reading VIDEO making: “Behind the Scenes ” WANATETEMEKA ” Queen Darleen f” on YouTube

KIPANDE CHA DIAMOND AKIIMBA KATIKA TRACK YA Cocoa na Chocolate : = D with seven country” on YouTube


Maneno yanaumba !!! kwa jitihada zake Diamond Platnumz kama alivyosema kwamba ni lazima Wanigeria watamtambua time hii na kweli ndio inatokea hivyo. Baada ya kuthibitisha kwamba atafanya kolabo kadhaa Lagos Nigeria Zikiwemo mbili za D’Banj na msanii wake, kazi imeanza kuonekana siku mbili baada ya kutua. Diamond ameanza na hii ya kurekodi na Mnigeria mwingine mrembo aitwae Waje, unaweza ukatazama hiki kipisi hapa chini👉👉👉 Posted … Continue reading KIPANDE CHA DIAMOND AKIIMBA KATIKA TRACK YA Cocoa na Chocolate : = D with seven country” on YouTube

UTENGENEZAJI WA MOVIE YA Fast & Furious 7 BADO UNAENDELEA JAPO KUWA P, WALKER TUKO NAYE, ILA KUNA MTU WA KUFANANA NAE ATAKUWEPO KUMALIZIA SCENE ZAKE -. : Trailer Extended First Look [HD] | 4.10.2015″ on YouTube


Zoezi la utengenezaji wa filamu ya ‘Fast & Furious 7 unaendelea baada ya kusimama kwa muda tangu kutokea kwa kifo cha Paul Walker (40) aliyefariki kwa ajali mbaya ya gari mwezi Novemba mwaka jana huku akiwa tayari ameshacheza sehemu kubwa ya filamu hiyo. Muongzaji wa filamu hiyo, ‘James Wan’ aliposti picha kama inavyoonekana hapo chini kwenye ukurasa wake wa Instagram hapo jana iliyoambatana na ujumbe … Continue reading UTENGENEZAJI WA MOVIE YA Fast & Furious 7 BADO UNAENDELEA JAPO KUWA P, WALKER TUKO NAYE, ILA KUNA MTU WA KUFANANA NAE ATAKUWEPO KUMALIZIA SCENE ZAKE -. : Trailer Extended First Look [HD] | 4.10.2015″ on YouTube