TRACK YA Alicia Keys – IITWAYO It’s On Again ft. Kendrick Lamar ITAKUA KUWA SOUNDTRACK KATIKA MOVIE YA AMAZING SPIDER MAN 2: (Single Radio Edit) by AliciaKeys on SoundCloud


image

Baada ya kuwa kimya kwa kipindi
kirefu, mwanamuziki mrembo, Alicia
Keys ametoa nyimbo mpya inayoitwa
‘It’s on again’ akiwa amemshirikisha
rapa Kendrick Lamar ambayo
itatumika kama kibwagizo
‘SoundTrack’ katika filamu ya
amazing Spider 2 . Nyimbo hiyo
imetengenzwa na producer
mwanamuziki, Pharrell Williams.

kwa sasa Alicia yupo studio
akijiandaa kuachia albamu yake ya
sita. Isikilize hapo chini….
http://soundcloud.com/aliciakeys/its-on-again-ft-kendrick-lamar

Posted from WordPress for Android,by hailedavy