UTENGENEZAJI WA MOVIE YA Fast & Furious 7 BADO UNAENDELEA JAPO KUWA P, WALKER TUKO NAYE, ILA KUNA MTU WA KUFANANA NAE ATAKUWEPO KUMALIZIA SCENE ZAKE -. : Trailer Extended First Look [HD] | 4.10.2015″ on YouTube


image

Zoezi la utengenezaji wa filamu ya
‘Fast & Furious 7 unaendelea baada
ya kusimama kwa muda tangu
kutokea kwa kifo cha Paul Walker
(40) aliyefariki kwa ajali mbaya ya
gari mwezi Novemba mwaka jana
huku akiwa tayari ameshacheza
sehemu kubwa ya filamu hiyo.
Muongzaji wa filamu hiyo, ‘James
Wan’ aliposti picha kama
inavyoonekana hapo chini kwenye
ukurasa wake wa Instagram hapo
jana iliyoambatana na ujumbe
uliosomeka ”First Day back filming.
better & stronger”.
fast n furious
Kwa mujibu wa mtandao wa New
York Daily New, ulisema kwamba
kipande muhimu cha mwisho
kitachezwa na Brian O Corner akiwa
kama Paul Walker akisaidiwa na
msaada wa komputa
itakayotengeneza sura na umbo
kama lile la Walker.
Wazo la kumuweka Corner badala ya
Walker liliafikiwa na maproducer wa
filamu hiyo kuliko vie walivyotaka
kumuondoa kwa njia ya kumuua.
“First day back filming. Better and
stronger.”
TAZAMA trailer HAPO 👇👇👉

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements