VIDEO making: “Behind the Scenes ” WANATETEMEKA ” Queen Darleen f” on YouTube


image

Hii itakua ni video ya kwanza
kwa ndugu wa
damu Diamond Platnumz na
Queen Darleen
kuonekana kwenye video moja
ambayo ni video
ya Queen Darleen ya wimbo wake
wa
Wanatetemeka,uzinduzi wa video
hii utakuwa ni
April 06 Club Bilicanas.
Miongoni mwa wasanii wa bongo
flava
watakaosindikiza uzinduzi huu ni
pamoja na
Dully Sykes,Mwasiti,M-Rap, Pimp
Sitta,Recho,Linah,Barnaba,Amini
na wengine
wengi kama surprise kwenye
Show hiyo pia
kutakuwa na support ya wasanii
wa bongo movie
akiwemo Jackline Wolper na
Rado.
Bonyeza play kucheki video hiyo
ilivyokuwa
inatengenezwa.

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements