“BONGO REGGAE” ALBUM YA WARRIORS FROM THE EAST KUZINDULIWA DAR.


Kundi kali kabisa la muziki wa Reggae hapa Tanzania, Warriors From The East wamewataka mashabiki wao kukaa tayari kwa uzinduzi mkubwa wa albam yao mpya ambayo inakwenda kwa jina Bongo Reggae, utakaofanyika hivi karibuni kwa onyesho kubwa jijini Dar. Warriors From The East eNewz imeongea na wasanii wa kundi hili, Black Jesus na Ras Magere kuhusiana na albam hii mpya ambayo tayari imekwishakamilika, ambapo wamesema … Continue reading “BONGO REGGAE” ALBUM YA WARRIORS FROM THE EAST KUZINDULIWA DAR.

“iyanya wa Nigeria na diamond.wa tanzania ndani ya ngoma moja: DIAMOND anataka video ifanyikie uingereza (UK ) ” on YouTube


Safari ya Diamond nchini Nigeria imeonekana kuzaa matunda baada ya kumaliza kufanya nyimbo aliyomshirikisha Iyanya katika studio ya nyumbani kwake nchini Nigeria. Katika kudhihirisha hilo, video fupi iliyosambazwa kwenye mtandao wa Youtube inamuonyesha Diamond akiwa katika studio hizo huku Iyanya akiimba kwa kiswahili. ‚ÄúNimemalizia kufanya ngoma na Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri jana kuelekea nchi Uingereza, basi akirudi ntapanga nae siku ya ku- record video … Continue reading “iyanya wa Nigeria na diamond.wa tanzania ndani ya ngoma moja: DIAMOND anataka video ifanyikie uingereza (UK ) ” on YouTube

FAIDA TANO (5) ZA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO (ONLINE )


Kukua na Kuongezeka kwa teknolojia , kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi duniani hivyo basi hata elimu namna ya kuipata imebadilika. Unaweza kusoma kwa njia ya mtandao na haulazimiki kwenda chuoni kila siku au mara kwa mara ilimradi uwe na komputa yenye intaneti. Ingawa watu wamekuwa wakiichukulia kwa ugumu kidogo ukilinganisha na kuhudhuria darasani kila siku, wanafunzi wanaosoma kwa njia ya mtandao wanaonyesha kuridhika zaidi na … Continue reading FAIDA TANO (5) ZA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO (ONLINE )