“iyanya wa Nigeria na diamond.wa tanzania ndani ya ngoma moja: DIAMOND anataka video ifanyikie uingereza (UK ) ” on YouTube


image

Safari ya Diamond nchini Nigeria
imeonekana kuzaa matunda baada
ya kumaliza kufanya nyimbo
aliyomshirikisha Iyanya katika studio
ya nyumbani kwake nchini Nigeria.
Katika kudhihirisha hilo, video fupi
iliyosambazwa kwenye mtandao wa
Youtube inamuonyesha Diamond
akiwa katika studio hizo huku Iyanya
akiimba kwa kiswahili.
“Nimemalizia kufanya ngoma na
Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri
jana kuelekea nchi Uingereza, basi
akirudi ntapanga nae siku ya ku-
record video na akili yangu yote
inanituma kuifanyia nchini uingereza.
nina plan kubwa sana na video ya
wimbo huo.” alisema Diamond
Platnumz. Waje ni msanii wa kike wa
Nigeria anayetarajia kufanya kazi na
Rais wa Wasafi .

Posted from WordPress for Android,by hailedavy