VIDEO:UTENGENEZAJI WA THE MONSTER YA EMINEM “Eminem – The Monster Explained (Behind The Scenes) ft. Rihanna” on YouTube


In a dark and disturbed setting, Eminem faces his demons with the help of his therapist, Rihanna, in the video for “The Monster.” Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading VIDEO:UTENGENEZAJI WA THE MONSTER YA EMINEM “Eminem – The Monster Explained (Behind The Scenes) ft. Rihanna” on YouTube

Victoria Kimani kuja na reality Show iitwayo “THE RISE OF THE QUEEN” on YouTube


Mwimbaji wa Chocolate City Music Mkenya Victoria Kimani kwa kushirikiana na Reel TV anatarajia kuja na reality TV show yake iitwayo ‘The Rise of The Queen’ ambayo itakuwa ni series yenye mkusanyiko wa matukio mbalimbali ya behind the scenes katika shughuli zake za muziki. Victori ambaye alikuwa Tanzania mwezi uliopita kwaajili ya kujitangaza zaidi na kuutangaza muziki wake, amekuwa akifuatana na crew yake ya production … Continue reading Victoria Kimani kuja na reality Show iitwayo “THE RISE OF THE QUEEN” on YouTube

VYBZ KARTER AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA


Msanii wa Dancehall wa nchini Jamaica, Vybz Kartel amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Staa huyo ambaye jina lake halisi ni Adidja Palmer, alipataka na hatia ya mauaji kwenye kesi iliyosikilizwa March 13 mwaka huu. Kartel na washkaji zake watatu walihusika kwenye mauaji ya Clive ‘Lizard’ Williams November 2011. Kwa mujibu wa mtandao wa Billboard, washkaji hao watatu wa Kartel ambao ni Shawn Campbell, Kahira Jones … Continue reading VYBZ KARTER AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

MZIGO UPO KWA HEWA, NI MOVIE YA Noah – TAZAMA Official Trailer (2014) [HD] Russel Crowe, Emma Watson” on YouTube


Movie ya Noah ambayo imekatazwa kuonyeshwa kwenye baadhi ya nchi, itaanza kuonekana kwenye theater za Tanzania kuanzia tarehe 4/4/2014. Angalia trailer yake hapa pamoja na ratiba ya movie nyingine. Tazama ratiba Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading MZIGO UPO KWA HEWA, NI MOVIE YA Noah – TAZAMA Official Trailer (2014) [HD] Russel Crowe, Emma Watson” on YouTube