MZIGO UPO KWA HEWA, NI MOVIE YA Noah – TAZAMA Official Trailer (2014) [HD] Russel Crowe, Emma Watson” on YouTube


image

Movie ya Noah ambayo imekatazwa
kuonyeshwa kwenye baadhi ya nchi,
itaanza kuonekana kwenye theater za
Tanzania kuanzia tarehe 4/4/2014.
Angalia trailer yake hapa pamoja na
ratiba ya movie nyingine.

Tazama ratiba

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy