VIDEO: DAKIKA 39 ZA TI KATIKA INTERVIEW: “Iggy Azalea speaks on Beef with Funk Flex and Oth…” on YouTube


T.I. was a hustler before he was a rapper and the business acumen seems to permeate every aspect of his music endeavors. While appearing on Hot 97 Morning Show , T.I. spoke on the meaning behind his new album Paperwork ‘s title, how Beyonce and his release will be similar but VERY different and his movie plans for the album. T.I. says his “most creative … Continue reading VIDEO: DAKIKA 39 ZA TI KATIKA INTERVIEW: “Iggy Azalea speaks on Beef with Funk Flex and Oth…” on YouTube

AUDIO TEASER NIPO NJIANI TOKA KWA STRATON MO PANISH


kaza waza production-slums musik cooperated ina present kwako brand new track ya panishit ft wise man “NIPO NJIANI”.  Audio IKIWA hewani tutaitupia.. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading AUDIO TEASER NIPO NJIANI TOKA KWA STRATON MO PANISH

VIDEO YA WIMBO WA NAKUPENDA YA MAFIKIZOLO ITAFANYIKIA KATIKA ARDHI YA TANZANIA NA DIRECTOR ATAKAEONGOZA ATAKUWA MTANZANIA.


Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ambalo lipo nchini kwajili ya show moja itakayofanyika leo Mlimani City, lina mpango wa kufanya video ya wimbo wao mpya ‘Nakupenda’ hapa Tanzania kabla ya kuondoka. Theo Kgosinkwe and Nhlanhla Nciza. “Tungependa kufanya video ya Nakupenda hapa Dar kwani jina la wimbo ni la kiswahili na itapendeza hivyo, bado hatujapata director wa kufanya video hii ila ndio … Continue reading VIDEO YA WIMBO WA NAKUPENDA YA MAFIKIZOLO ITAFANYIKIA KATIKA ARDHI YA TANZANIA NA DIRECTOR ATAKAEONGOZA ATAKUWA MTANZANIA.