EMINEM AFUNGUKA KUWA DIRECTOR SPIKE_LEE NDIE ATAKAE SIMAMIA VIDEO YAKE MPYA


Eminem Alistate ktk personal Instagram account kuwa “Spike Lee will be directing his next music video, “Headlights”. According to the Instagram post, the music video for the fourth The Marshall Mathers LP 2 single will be directed by Spike Lee and shot in Eminem’s hometown of Detroit. “Headlights”, which featutres Nate Reuss is currently #11 on on Billboard’s R&B/Hip Hop Digital Songs. KUPITIA INSTAGRAM EMINEM … Continue reading EMINEM AFUNGUKA KUWA DIRECTOR SPIKE_LEE NDIE ATAKAE SIMAMIA VIDEO YAKE MPYA

STORY YA KUHUSU SHAKIRA KUTOFANYA TENA VIDEOS NA MODEL WA KIUME


Mchumba wa Msanii Shakira kusema hataki mpenzi wake afanye video na mwanaume yoyote tena kwenye maisha ya muziki wake. Mpenzi wa Shakira ambaye ni beki wa klabu ya FC Barcelona ‘Gerard Pique, ilisemekana amempiga marufuku Shakira kufanya video na model wa kiume na wanasema tamko hilo lilihamasishwa na video nzuri waliyotengeneza Shakira na Rihanna kwenye wimbo wao “Cant Remember to Forget You” . Shakira amebadilisha … Continue reading STORY YA KUHUSU SHAKIRA KUTOFANYA TENA VIDEOS NA MODEL WA KIUME

HUU NDIO MUONEKANO HALISI WA NICK MINAJ AKIWA HAJAJIWEKA NA KUPAKAA VITU VYAKE VYA BANDIA


Rapa Nick Minaj amezidi kuonekana bomba katika muonekano wake halisi tofauti na hapo awali alipokuwa akitumia vitu vingi bandia kama vile nywele na kope. Minaj aliposti baadhi ya picha Kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye wafuasi zaidi ya milioni 4 na kupata LIKES nyingi sana kutoka kwa mashabiki wake hasa wale wa jinsia ya kiume huku wengi wao wakisifia sura na nywele zake.. Posted from … Continue reading HUU NDIO MUONEKANO HALISI WA NICK MINAJ AKIWA HAJAJIWEKA NA KUPAKAA VITU VYAKE VYA BANDIA

DAVIDO KUIGIZA MOVIE KWA MARA YA KWANZA


Davido akiwa na binamu yake ‘Ikechukwu Ojeogwu’ Lagos Nigeria. Mwanamuziki David Adeleke ‘Davido’ amepata shavu la kushiriki kuigiza filamu kwa mara ya kwanza baada ya kupigiwa pande na binamu yake ‘Ikechukwu Ojeogwu’ ambaye ni muigizaji na muongozaji. Davido atafanya kazi chini ya muongozaji nguli wa filamu kutoka Nollywood , Teco Benson. Nafasi ya rapa huyo inatarajiwa kumuongezea idadi kubwa ya mashabiki hasa kutokana na kupata … Continue reading DAVIDO KUIGIZA MOVIE KWA MARA YA KWANZA

KICHUPA: “AY Feat Dela – Asante [Official Video]” on YouTube


Msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania, Ambwene Yesaya ameachia video ya wimbo wake ‘Asante’ aliyoifanya nchini kenya akiwa amemshirikisha mwanadada ‘Dela’ chini ya muongozaji raia wa Kenya ‘Kevin Bosco JNR’. AY Feat Dela – Asante [Official Video]: http://youtu.be/nOv5cqP3u8A Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading KICHUPA: “AY Feat Dela – Asante [Official Video]” on YouTube

WATU WATATU (3)WAHUKUMIWA KIFO INDIA KWA KOSA LA KUBAKA


Maandamano ya kupinga ubakaji India Wanaume watatu wamehukumiwa kifo Mjini Mumbai, India baada ya kupatikana na hatia katika visa tofauti vya ubakaji walioufanya kwa pamoja. Moja ya visa hivyo kilitokea dhidi ya mwandishi mpiga picha aliyekuwa kazini alipobakwa. Uamuzi huo umefanywa chini ya sheria mpya iliyopitishwa ya kuwaadhibibu wanaoendeleza uhalifu huo wa ubakaji. Sheria hiyo ilipitishwa baada ya kile kisa Delhi kilichoughadhabisha umma cha msichana … Continue reading WATU WATATU (3)WAHUKUMIWA KIFO INDIA KWA KOSA LA KUBAKA