DAVIDO KUIGIZA MOVIE KWA MARA YA KWANZA


image

Davido akiwa na binamu yake
‘Ikechukwu Ojeogwu’
Lagos Nigeria. Mwanamuziki David
Adeleke ‘Davido’ amepata shavu la
kushiriki kuigiza filamu kwa mara ya
kwanza baada ya kupigiwa pande na
binamu yake ‘Ikechukwu Ojeogwu’
ambaye ni muigizaji na muongozaji.
Davido atafanya kazi chini ya
muongozaji nguli wa filamu kutoka
Nollywood , Teco Benson. Nafasi ya
rapa huyo inatarajiwa kumuongezea
idadi kubwa ya mashabiki hasa
kutokana na kupata umaarufu
kupitia fani ya muziki.
Binamu yake alisema Davido
amefurahia mpango huo na yupo
tayari kuanza kuigiza kwani
anachukulia kwa umakini suala hilo
kama biashara nyingine .
”Hii ni filamu ya kwanza kuonekana
Davido, mimi, kama mtayarishaji,
nimeweza kufanya kazi kwa namna
kwamba itakuwa ya manufaa kwa
sisi wote. Nimetengenezea vipande
ambavyo najua havitampa wakati
mgumu kwenye kuigiza. alisema
Ikechukwu.
Aliongezea ”Najua Davido ni mtu
mkubwa na sitaki kumpangia
mambo mengi kutokana na kuwa
bize na isitoshe ndio mara yake ya
kwanza.
“This is Davido’s first movie
appearance, I, as the producer, have
been able to work out things in such
a manner that it would be beneficial
to us all. I’ve crafted out a role that I
know would put him in a comfortable
position and won’t make him either
excessive or otherwise.
“I know how big Davido is and I don’t
want to put a lot of pressure on him
because of his busy schedule and it is
his first appearance. Furthermore, the
script is in such a way that he
doesn’t over shadow the beauty of
the script but to add his weight to the
success of the project ,” he said.
– See more at: http://
http://www.naijaloaded.com.ng/2014/04/
02/davido-make-acting-debut-new-
nollywood-movie/#
sthash.T5Cst3Uj.dpuf
“This is Davido’s first movie
appearance, I, as the producer, have
been able to work out things in such
a manner that it would be beneficial
to us all. I’ve crafted out a role that I
know would put him in a comfortable
position and won’t make him either
excessive or otherwise.
“I know how big Davido is and I don’t
want to put a lot of pressure on him
because of his busy schedule and it is
his first appearance. Furthermore, the
script is in such a way that he
doesn’t over shadow the beauty of
the script but to add his weight to the
success of the project ,” he said.
– See more at: http://
http://www.naijaloaded.com.ng/2014/04/
02/davido-make-acting-debut-new-
nollywood-movie/#
sthash.T5Cst3Uj.dpuf
Ojeogwu,
“This is Davido’s first movie
appearance, I, as the producer, have
been able to work out things in such
a manner that it would be beneficial
to us all. I’ve crafted out a role that I
know would put him in a comfortable
position and won’t make him either
excessive or otherwise.
“I know how big Davido is and I don’t
want to put a lot of pressure on him
because of his busy schedule and it is
his first appearance. Furthermore, the
script is in such a way that he
doesn’t over shadow the beauty of
the script but to add his weight to the
success of the project ,” he said.
– See more at: http://
http://www.naijaloaded.com.ng/2014/04/
02/davido-make-acting-debut-new-
nollywood-movie/#
sthash.T5Cst3Uj.dpuf

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements