HUU NDIO MUONEKANO HALISI WA NICK MINAJ AKIWA HAJAJIWEKA NA KUPAKAA VITU VYAKE VYA BANDIA


Rapa Nick Minaj amezidi kuonekana
bomba katika muonekano wake
halisi tofauti na hapo awali
alipokuwa akitumia vitu vingi bandia
kama vile nywele na kope. Minaj
aliposti baadhi ya picha Kupitia
ukurasa wake wa Instagram wenye
wafuasi zaidi ya milioni 4 na kupata
LIKES nyingi sana kutoka kwa
mashabiki wake hasa wale wa jinsia
ya kiume huku wengi wao wakisifia
sura na nywele zake..

image

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy

Advertisements