KICHUPA: “AY Feat Dela – Asante [Official Video]” on YouTube


image

Msanii wa kimataifa kutoka nchini
Tanzania, Ambwene Yesaya
ameachia video ya wimbo wake
‘Asante’ aliyoifanya nchini kenya
akiwa amemshirikisha mwanadada
‘Dela’ chini ya muongozaji raia wa
Kenya ‘Kevin Bosco JNR’.

AY Feat Dela – Asante [Official Video]: http://youtu.be/nOv5cqP3u8A

Posted from WordPress for Android,by hailedavy