STORY YA KUHUSU SHAKIRA KUTOFANYA TENA VIDEOS NA MODEL WA KIUME


image

Mchumba wa
Msanii Shakira kusema hataki
mpenzi wake afanye video na
mwanaume yoyote tena kwenye
maisha ya muziki wake. Mpenzi wa
Shakira ambaye ni beki wa klabu ya
FC Barcelona ‘Gerard Pique,
ilisemekana amempiga marufuku
Shakira kufanya video na model wa
kiume na wanasema tamko hilo
lilihamasishwa na video nzuri
waliyotengeneza Shakira na Rihanna
kwenye wimbo wao “Cant Remember
to Forget You” .
Shakira amebadilisha tamko lake na
kusema kuwa kwenye mahojiano
aliyofanyiwa, alisema kwa utani
kuwa amekatazwa kufanya video na
male models ila sio issue serious
sana na hatarudia tena.

image

Posted from WordPress for Android,by hailedavy