VIDEO: “Don Shiller – Unakataa [Official Video]” on YouTube


Angalia video mpya ya msanii wa Bongo Fleva ‘Don Shiller’ inaitwa Unakataa imefanywa na muongozaji kutoka Zambia ‘TK’. Don Shiller – Unakataa [Official Video]: http://youtu.be/DqnHwn0helE Continue reading VIDEO: “Don Shiller – Unakataa [Official Video]” on YouTube

DAKIKA 22 ZA “Makala ya Mwaka 1 tangu kifo cha Steven Kanumba” on YouTube


April 7, kifo cha aliyekuwa muigizaji maarufu na kipenzi cha wengi, Steven Kanumba, kinatimiza miaka miwili. Hii ni makala iliyoandaliwa na Bongo5 exclusively kwa wiki hii ya maadhimisho ya kifo chake. http://youtu.be/M53tSpaP1aw Credit: BONGO5 & Frederick bundara sky WALKER. Posted from WordPress for Android,by hailedavy Continue reading DAKIKA 22 ZA “Makala ya Mwaka 1 tangu kifo cha Steven Kanumba” on YouTube