MSAKO DHIDI YA WAGENI WAENDELEA KENYA
Msako Kenya waendelea Maafisa wa Polisi nchini Kenya wanasema wamekamata zaidi ya watu elfu tatu katika msako dhidi ya wageni nchini humo . Msako huo ulianza Ijumaa, baada ya mashambulizi ya gurunade wiki iliyopita katika eneo la Eastleigh linalokaliwa zaidi na wasomali katika mji mkuu Nairobi. Wengi wa waliokamatwa ni wasomali . Inspekta mkuu wa polisi , David Kimaiyo, amesema kuwa watu 450 bado korokoroni … Continue reading MSAKO DHIDI YA WAGENI WAENDELEA KENYA