UKRAINE YAPEWA SAA 48 KUAMUA MUSTAKABAL WAO


Majengo yaliyotekwa mashariki ya Ukraine Waukraine wanaoishi mashariki mwa taifa hilo wanatakriban saa 48 kuamua mustakabal wao la sivyo wakabiliane na vyombo vya usalama vya dola. Waziri wa masuala ya ndani nchin Ukrain Arsen Avakov amewaambia waandishi wa habari mjini Kiev kuwa hali iliyo mashariki mwa nchi itatatuliwa kstika masaa 48 yajayo aidha kwa mazungumzo au kwa kutumia nguvu. Wanaharakati wanaoiunga mkono Urusi bado wameyateka … Continue reading UKRAINE YAPEWA SAA 48 KUAMUA MUSTAKABAL WAO

KENYA YAWAREJESHA MAKWAO WASOMALI ZAIDI YA 80


Kenya yawaregesha Wasomali Nyumbani Serikali ya Kenya imewarudisha nyumbani Wasomali 82 waliokuwa miongoni mwa wageni 3000 walioshikwa katika msako mkubwa unaoendelea mjini Nairobi kukabiliana na tishio la ugaidi. Mwandishi wa BBC mjini Nairobi, Paul Nabiswa, ambaye yuko katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta ameshuhudia zaidi ya Wasomali 82 wakiingizwa katika ndege moja ambayo imekodishwa maalum kwa shughuli hiyo. Balozi wa Somalia nchini … Continue reading KENYA YAWAREJESHA MAKWAO WASOMALI ZAIDI YA 80

HIVI NDIVYO MUONEKANO MPYA WA TWITTER UTAKAVYOKUWA


Ukurasa wako wa Twitter upo mbioni kuwa na muonekano mpya. Twitter imetangaza jana kuwa itazindua muonekano mpya na vitu vipya kwenye kurasa za watumiaji. Kampuni hiyo imesema mabadiliko hayo yatafanya vitendo vya kujieleza binafsi kwenye mtandao huo wa kijamii kuwa rahisi na kwa raha zaidi. Muundo mpya wa Twitter unawapa watumiaji picha kubwa zaidi ya profile pamoja na picha ya juu yake maarufu kama header … Continue reading HIVI NDIVYO MUONEKANO MPYA WA TWITTER UTAKAVYOKUWA

MATUMAINI YA KUPATIKANA KWA MH 370 YA MALAYSIA BADO YANAENDELEA.


Operesheni ya kuitafuta MH 370 inaendelea. Kiongozi wa operesheni ya kuitafuta ndege ya Malaysia ya MH370 iliyotoweka mwezi mmoja uliopita, Angus Houston wa Australia, amesema kuwa ametambua mawimbi ya sauti inayoaminika kutoka kwa kinasa sauti cha ndege hiyo maarufu kama ‘black box’ ya ndege hiyo. Houston alisema kuwa kifaa maalumu kinachokokotwa na meli moja ya kijeshi ya Australia, Ocean Shield, kilipata mawimbi kamili kwa muda … Continue reading MATUMAINI YA KUPATIKANA KWA MH 370 YA MALAYSIA BADO YANAENDELEA.