U•N YATELEKEZA KAMBI YA WAKIMBIZI SUDAN KUSINI


Maji taka yamezagaa katika kambi ya Umoja wa mataifa ya wakimbizi Sudan Kusini Umoja wa mataifa Nchini Sudan Kusini umejitetea vikali kutokana na ukosoaji kwamba inawabagua watu wanaotaabika ndani ya makao yake makuu katika jiji kuu la Sudan Kusini Juba. Wakimbizi hao wamekita kambi kwenye ofisi za umoja wa mataifa baada ya kukimbia mapigano kati ya wanajeshi watiifu kwa Rais Salva Kirr Mayardit na aliyekuwa … Continue reading U•N YATELEKEZA KAMBI YA WAKIMBIZI SUDAN KUSINI

VIDEO: “Kala Jeremiah ft Juma Nature, Young Killer & Nay…” on YouTube


Kala Jeremiah, New Video : Kala Jeremiah feat Juma Nature na Nay lee – Walewale remix Kala Jeremiah ft Juma Nature, Young Killer & Nay…: http://youtu.be/UN2VYyflQyI Continue reading VIDEO: “Kala Jeremiah ft Juma Nature, Young Killer & Nay…” on YouTube

PISTORIUS AANDAMWA NA MUONGOZO MASHTAKA WA KESI YAKE


Mwanariadha wa Afrika kusini Oscar Pistorius amerejea tena mahakamani kuhojiwa zaidi na kujibu maswali ya mwendesha mashtaka mkuu Gerrie Nel katika kesi anayoshtumiwa kwa kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake mwanamitindo Reeva Steenkamp nyumbani kwake mwezi februari tarehe 14 mwaka uliopita . Bwana Nel amekuwa akimwandama Pistorius , akisema hakuwa mkweli katika toba yake na alimfokea mpenzi wake Reeva Steenkamp mara kwa mara . Siku … Continue reading PISTORIUS AANDAMWA NA MUONGOZO MASHTAKA WA KESI YAKE

GERRIE NEL AFANYA MAHOJIANO NA OSCAR PISTORIUS


Mwendesha mashtaka Gerrie Nel akimhoji Pistorius Mwendesha mashata wa serikali nchini Afrika Kusini ameanza kumhoji mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius ambapo amemtaka akiri kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliyopita. Akimhoji Pistorius wakati wa siku yake ya tatu ya kutoa ushahidi Gerrie Nel alimtaka Pistorius kukubali kumuua mpenziwe nyumbani kwake februari tarehe 14. Pistorius hata hivyo alijibu kwa kusema kuwa alikuwa amefanya makosa na hakutarajia kumuua Reeva … Continue reading GERRIE NEL AFANYA MAHOJIANO NA OSCAR PISTORIUS

SERIKALI YA TANZANIA YALIFUTIA USAJILI SHIRIKA LA SISI KWA SISI KUTOKANA NA UCHOCHEZI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA.


Vitendo vya mapenzi ya jinsia moja vinapingwa sana katika mataifa ya Afrika. Serikali ya Tanzania imefutilia mbali usajili wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali kwa sababu ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja katika jamii. Shirika hilo kwa jina Sisi Kwa Sisi lilisajiliwa baada ya kudai kuwa malengo yake yalikuwa ni kusaidia jamii. Tanzania imesema imechukua hatua ya kufutilia mbali usajili wa shirika hilo kwa kukiuka … Continue reading SERIKALI YA TANZANIA YALIFUTIA USAJILI SHIRIKA LA SISI KWA SISI KUTOKANA NA UCHOCHEZI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA.