WAKENYA WALIOTEKWA 2011 WAOKOLEWA


Wanajeshi wa Kenya waliopo AMISOM Wafanyakazi raia wa Kenya wa mashirika ya misaada ya kibinadamu ambao walikuwa wametekwa na wapinaji wa kiislamu wa Al shabaab mwaka 2011 wameokolewa na majeshi ya Kenya. Daniel Njuguna ambaye alikuwa akifanya kazi katika shirika la Madaktari wasio na mipaka Medecins Sans Frontieres MSF na James Kiarie wa Shirika la Care International, walichunguzwa afya zao na walitarajiwa kusafirishwa kwenda Nairobi. … Continue reading WAKENYA WALIOTEKWA 2011 WAOKOLEWA