PAPA FRANCIS KUWAWEKEA VIKWAZO MAKASISI.


Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowakosea watoto kwa kuwalawiti. Papa Francis alinukuliwa kupitia redio ya kanisa hilo mjini Vatican, akitaja dhuluma za kingono dhidi ya watoto kama ukosefu wa maadili miongoni mwa viongozi wa kanisa na kusema watakaopatikana na hatia watawekewa vikwazo. Mwezi jana Papa Francis, alitetea vikali rekodi ya kanisa … Continue reading PAPA FRANCIS KUWAWEKEA VIKWAZO MAKASISI.

BEYONCE,TIMBERLAKE NA PHARRELL WAONGOZA KUPANGWA VIPENGELE VINGI KTK BILLBOARD AWARDS


Mchakato tayari umeshaanza wa kutangazwa majina ya wasanii watakaowania tuzo za Billiboard ambazo hufanyika kila mwaka. Wasanii kama vile Justin Timberlake, Beyonce Knowles na Pharrell Williams wameongoza kutajwa katika vinyanganyiro hivyo kushinda wanamuziki wengine. Beyonce ndiye anashikilia usukani kwa upande wa wanawake akitajwa kuwania vipengele 7 ikiwemo cha mwimbaji bora wa kike wa R&B, albamu bora ya Billboard na albamu bora ya R&B, wakati kwa … Continue reading BEYONCE,TIMBERLAKE NA PHARRELL WAONGOZA KUPANGWA VIPENGELE VINGI KTK BILLBOARD AWARDS

JE, DAVIDO ANA HARAKATI ZA KUPIGA COLLABO NA WALE WA MAYBACH ?


Rapa kinda wa Nigeria anayekuja kwa kasi kama treni ya umeme, hapa namzungumzia Davido, ameonekana akiwa kwenye studio za Rapa wa marekani mwenye asili ya Nigeria ‘Wale’ anayefanya kazi chini ya lebo ya Maybach Music Group inayomilikiwa na Rick Ross . Wakiwa studio, mastaa hao waliweza kupiga pamoja picha na kisha kuzitupia mtandaoni. “Chilling at my spot wit @lifeofdavido writin these naija tunes” aliandika Wale … Continue reading JE, DAVIDO ANA HARAKATI ZA KUPIGA COLLABO NA WALE WA MAYBACH ?