NEW SONG IN TOWN: WAGOSI WA KAYA, “BAO”


Wale Jamaa wawili waliowahi kuwepo katika orodha ya wasanii waliozikusanya pesa enzi hizo kupitia muziki, Wagosi Wa Kaya hatimaye wamevunja ukimya uliodumu kwa tarkibani miaka nane kama kundi. Wameachia single mpya iitwayo ‘Bao’ iliyorekodiwa Tongwe Continue reading NEW SONG IN TOWN: WAGOSI WA KAYA, “BAO”

TWEET YA JERRY SLAA KUHUSU MAFURIKO


ni mtizamo wangu, na nilimfahamisha Mstahiki meya Jerry Silaa pia: huyu mtu ana bahati sana kwamba ni Meya wa manispaa nchini Tanzania, ambapo ukisahapata uongozi upo huru kufanya lolote lile- baya au zuri, la busara au la kipuuzi- pasi kuchelea matokeo. Laiti huyu mtu angekuwa Meya wa eneo lolote lile hapa Uingereza, basi Jumatatu angekumbana na wito wa kumtaka aachie ngazi. Ndio, uwepo wake Dar … Continue reading TWEET YA JERRY SLAA KUHUSU MAFURIKO

BREAKING NEWS: KUHUSU TAARIFA ZA KIFO CHA MWANAMUZIKI MZEE GURUMO.


Kuhusu mwanamuziki mkongwe mzee Gurumo kufariki dunia. mzee wa siku nyingi sana kwenye muziki Tanzania ambae aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari mara nyingi hasa kutokana na kuugua kwake kuliko mfanya aache hata muziki aliokua anaufanya. Taarifa zilizothibitishwa na hospitali ya Taifa Muhimbili kwa zimesema Mzee huyu amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13 2014 saa nane mchana baada ya kuletwa jana asubuhi na … Continue reading BREAKING NEWS: KUHUSU TAARIFA ZA KIFO CHA MWANAMUZIKI MZEE GURUMO.

PICHA ZA AJALI YA MAKAMU WA RAIS _ MH.DK MOHAMMED GHALIB BILAL ,KAMANDA KOVA NA MH. MECKY SADICK


Makamu wa rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Ghalib Bilal amenusurika katika ajali ya ndege aina ya helikopta iliyotokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati walipokuwa wakikagua athari za mvua katika mkoa wa Dar es salaam. Pichani ni ndege aliyopata nayo ajali makamu wa Rais baada ya kuanguka katika uwanja wa JNIA huku kikosi cha zimamoto kikijaribu kuzima moto wa … Continue reading PICHA ZA AJALI YA MAKAMU WA RAIS _ MH.DK MOHAMMED GHALIB BILAL ,KAMANDA KOVA NA MH. MECKY SADICK

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA JUX #NITASUBIRI


Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayekimbiza kwa blingi na kuvaa, Juma Mpolopoto ‘JUX’ ambaye kwa sasa yupo barani Asia kwa masuala ya kimasomo, ameposti picha za utengenezaji wa video mpya ya wimbo wake wa Nitasubiri kupitia ukurasa wake wa Instagram. Video hiyo imefanywa chini ya muongozaji ‘Zed Benson’ aliyeongoza video ya Uzuri wako ya msanii huyo. Tazama vipande vya utengenezaji hapo chini. Continue reading PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA JUX #NITASUBIRI