BREAKING NEWS: KUHUSU TAARIFA ZA KIFO CHA MWANAMUZIKI MZEE GURUMO.


image

Kuhusu mwanamuziki mkongwe
mzee Gurumo kufariki dunia.
mzee wa siku nyingi sana kwenye
muziki Tanzania ambae aliwahi
kuingia kwenye vichwa vya habari
mara nyingi hasa kutokana na
kuugua kwake kuliko mfanya
aache hata muziki aliokua
anaufanya.
Taarifa zilizothibitishwa na
hospitali ya Taifa Muhimbili kwa
zimesema Mzee huyu amefariki
dunia akiwa hospitalini hapo leo
April 13 2014 saa nane mchana
baada ya kuletwa jana asubuhi na
kulazwa kwenye wodi namba 6 ya
Mwaisela kutokana na kuzidiwa.
Tayari mwili wake umepelekwa
kwenye chumba cha kuhifadhia
maiti ambapo taarifa zaidi kuhusu
chanzo cha kifo na taratibu za
mazishi
ALAZWE MAHALI PEMA PEPONI
MZEE WETU

image