NEW SONG IN TOWN: WAGOSI WA KAYA, “BAO”


image

Wale Jamaa wawili waliowahi
kuwepo katika orodha ya wasanii
waliozikusanya pesa enzi hizo
kupitia muziki, Wagosi Wa Kaya
hatimaye wamevunja ukimya
uliodumu kwa tarkibani miaka nane
kama kundi. Wameachia single mpya
iitwayo ‘Bao’ iliyorekodiwa Tongwe

Advertisements