PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA JUX #NITASUBIRI


Mwanamuziki wa Bongo Fleva
anayekimbiza kwa blingi na kuvaa,
Juma Mpolopoto ‘JUX’ ambaye kwa
sasa yupo barani Asia kwa masuala
ya kimasomo, ameposti picha za
utengenezaji wa video mpya ya
wimbo wake wa Nitasubiri kupitia
ukurasa wake wa Instagram.
Video hiyo imefanywa chini ya
muongozaji ‘Zed Benson’
aliyeongoza video ya Uzuri wako ya
msanii huyo. Tazama vipande vya
utengenezaji hapo chini.

image

image