KIKUNDI CHA BOKO HARAM CHADAIWA KUUA WATU ZAIDI YA LAKI MOJA


Members of Nigerian boko haram militia Sasa imebainika kuwa wanamgambo wa kiislamu kazkazini mwa Nigeria wamewaua zaidi ya watu laki moja na arubaini na tano katika misururu ya mashambulizi juma lililopita. Sineta wa jimbo la kazkazini mashariki la Borno Ahmed Zannah ameiambia BBC kwamba mauaji hayo yalifanyika katika maeneo matatu tofauti yaliopo mashambani. Amesema kuwa taassi moja ya kutoa mafunzo ya elimu ndio iliokuwa ya … Continue reading KIKUNDI CHA BOKO HARAM CHADAIWA KUUA WATU ZAIDI YA LAKI MOJA

MAREKANI YAIONYA RUSSIA KUHUSU UKRAINE


Marekani imeonyesha wasiwasi wake kuhusu kile ilichokitaja kama harakati za kundi fulani linalotaka kujitenga ambalo limekuwa likisaidiwa na Urusi kuchochea ghasia mashariki mwa Ukrain. Kufuatia kutekwanyara kwa vituo vya polisi katika miji kadhaa ya mashariki mwa Ukrain ,waziri wa maswala ya kigeni nchini marekani John Kerry amesema kuwa mashambulizi hayo ya watu waliojihami na silaha za Urusi yalifanyika kwa mpangilio. Katika mazungumzo yao ya simu … Continue reading MAREKANI YAIONYA RUSSIA KUHUSU UKRAINE