KIKUNDI CHA BOKO HARAM CHADAIWA KUUA WATU ZAIDI YA LAKI MOJA


image

Members of Nigerian boko haram
militia
Sasa imebainika kuwa wanamgambo
wa kiislamu kazkazini mwa Nigeria
wamewaua zaidi ya watu laki moja
na arubaini na tano katika misururu
ya mashambulizi juma lililopita.
Sineta wa jimbo la kazkazini
mashariki la Borno Ahmed Zannah
ameiambia BBC kwamba mauaji
hayo yalifanyika katika maeneo
matatu tofauti yaliopo mashambani.
Amesema kuwa taassi moja ya kutoa
mafunzo ya elimu ndio iliokuwa ya
kwanza kulengwa ambapo
wanamgambo hao waliwaua walimu
watano kabla ya kuwatekanyara
wake zao kadhaa.
Wapiganaji hao wanaoshukiwa
kutoka katika kundi la wanamgambo
wa Boko haram baadaye walivamia
vijiji viwili katika eneo la
mashambani karibu na mpaka na
Cameroon.
source:BBC

Advertisements