HIKI NDICHO ALICHOSEMA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD KUHUSU MUUNGANO.


Amekua mmiliki wa vichwa vya habari kutokana na ripoti mbalimbali ambazo zimekua zikimnukuu kwa kudai kutozitaka serikali mbili lakini leo April 15 2014 amezungumza kwenye maonyesho ya miaka 50 ya muungano ya kuzitoa hizi kauli zifuatazo. 1. ‘Pamoja na milima na mabonde, muungano huu umedumu miaka 50, nchi nyingine zilishindwa, l azima tufanye tathmini hasa ya muungano wetu, lazima vijana waelimishwe vp muungano uliundwa, tulianzia … Continue reading HIKI NDICHO ALICHOSEMA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD KUHUSU MUUNGANO.

INDIA KUTAMBUA WALIOBADILISHA JINSIA


India ina karibu watu milioni mbili waliobadilisha jinsia yao kutokana na hisia zao Mahakama ya juu zaidi nchini India imetoa uamuzi wa kihistoria unaotambua watu waliobadilisha jinsia yao kama watu wa kawaida katika jamii. Kawaida kuna jinsia mbili, mke au mume lakini mahakama hiyo imesema kuwa watu wanaoamua kubadilisha jinsia yao kuambatana na hisia zao pia ni lazima watambuliwe na jamii na walio katika aina … Continue reading INDIA KUTAMBUA WALIOBADILISHA JINSIA

UINGEREZA YAPIGA MARUFUKU WANAUME KUTEMBEA VIFUA WAZI.


‘Sio kila mtu anavutiwa na vifua wazi’ Wanaume wanaovua mashati wamepigwa marufuku kuitembelea bustani ya mapumziko na kujivinjari ya Adventure Island. Ni eneo ambalo watu wanakwenda kujivinjari na familia zao, kwa kutazama wanyama, watoto hupata kubembea na pia watu huota jua. Bustani hiyo iliyopo mjini Southend nchini Uingereza, imeweka ilani zinazowaomba wanaume wasivue mashati yao, na kwamba watakao patikana watafukuzwa. Mkurugenzi mkuu, Marc Miller, amesema … Continue reading UINGEREZA YAPIGA MARUFUKU WANAUME KUTEMBEA VIFUA WAZI.

OSCAR PISTORIUS AMALIZA KUJITETEA


Oscar Pistorius anakana kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp Upande wa mashitaka katika kesi ya mauaji dhidi ya Oscar Pistorius umemaliza kumhoji mwanariadha huyo. Oscar aliyekatwa miguu yote miwili anakana kutekeleza mauaji hayo akisisitiza kwamba alidhani marehemu Steenkamp alikuwa jambazi aliyevamia nyumba mwake. Anakabiliwa na kifungo cha kati ya miaka 25 au maisha gerezani, iwapo atapatikana na makosa ya mauaji ya kupangwa. Kabla ya kuanza kusikizwa … Continue reading OSCAR PISTORIUS AMALIZA KUJITETEA

RAPPER 50¢ @50cent ATAKIWA KULIPA MAMILLION YA DOLLARS KWA KAMPUNI YA SLEEK AUDIO


Wote tunafahamu kwamba rapper 50 cent anajua kutumia fursa za kuweza kujitengenezea fedha. Lakini safari hii biashara zake zimemletea matatizo kupitia kesi iliyodumu kwa miaka 3 kati yake dhidi ya kampuni ya kutengeneza earphone – Bradenton. Kwa mujibu wa mtandao wa http://www.hot97.com, ni kwamba 50 Cent ameamriwa na mahakama kuilipa kampuni hiyo kupitia kitengo chake Sleek Audio karibia $4.5 million kama fidia ya malipo mwanasheria … Continue reading RAPPER 50¢ @50cent ATAKIWA KULIPA MAMILLION YA DOLLARS KWA KAMPUNI YA SLEEK AUDIO