Waisilamu hawatapelelezwa tena New York


Kamishna wa polisi New York William Bratton alikutana na wakereketwa wa mpango huo Idara ya polisi mjini New York Marekani, imefunga kitengo chake maalum cha ujasusi ambacho huwapepeleza waisilamu ili kuchunguza kama kuna tisho lolote la ugaidi. Kitengo hicho kilikuwa kinatumia polisi waliokuwa wanavalia nguo za kiraia kusikiliza kisiri mawasiliano ya simu kati ya waisilamu na hata kuzuru maeneo yanayotembelewa sana na waisilamu. Vyombo vya … Continue reading Waisilamu hawatapelelezwa tena
New York

Mvinyo wamtia mashakani kiongozi Australia


Barry O’Farrell amekiri kuwa alikosa kwa kutosema ukwlei ingawa alighafilika Kiongozi wa jimbo lenye idadi kubwa ya watu nchini Australia,New South Wales, amejiuzulu baada ya kukosa kutangaza kuwa alipata zawadi ya mvinyo yenye thamani ya dola 2,800. Waziri mkuu wa New South Wales ,Barry O’Farrell alikiri kuwa alisahau au alighafilika kwa bahati mbaya baada ya kuambia jopo moja linalochunguza visa vya ufisadi kuwa hakuwahi kupokea … Continue reading Mvinyo wamtia mashakani kiongozi
Australia

HAYA NDIO MADHARA YATOKANANYO NA REDBULL:


RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo! Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Marekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa … Continue reading HAYA NDIO MADHARA
YATOKANANYO NA REDBULL:

MKE WA RAIS WA KENYA AWEKA REKODI YA KUSHIRIKI MBIO NDEFU LONDON UINGEREZA.


Mke wa Rais wa sasa wa Kenya, Magret Kenyatta ameweka rekodi nzuri ya kuwa mke wa kwanza wa Rais kuweza kushiriki mashindano ya mbio ndefu jijini London Uingereza ‘london Marathon’ za kilomita 42 na kuweza kumaliza kwa kutumia muda wa saa saba na dakika nne. Baada ya kumaliza mbio hizo, Bi magret alipongezwa na mumewe Rais Uhuru kenyatta pamoja na raia wa Kenya waishio nchini … Continue reading MKE WA RAIS WA KENYA AWEKA
REKODI YA KUSHIRIKI MBIO NDEFU
LONDON UINGEREZA.

Mafuriko Dar: Watu 25 wathibitika kufa


Mafuriko Dar es Salaam, Tanzania Watu 25 wamethibitika kufa mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania kutokana na mvua kubwa zilizonyesha kwa siku tatu mfululizo kuanzia Ijumaa hadi Jumapili iliyopita. Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Sadik Meck Sadik amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo akisema watu wengine 14 wanadaiwa kufa, lakini hawajathibitishwa na polisi. Mkuu huyo wa mkoa wa Dar es Salaam … Continue reading Mafuriko Dar: Watu 25 wathibitika
kufa

NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA TTCL


es and targets in relation to Customer Care enhancement and retention, time to solve customer problems and requests for reduction and loss of revenue through bill adjustments are achieved for the business profitability. Closing Date:Tuesday, April 22, 2014 Reports To:Head Customer Service 1.Ensure that customer care strategies for each market segment is developed, Implemented and reviewed. 2.Provide inputs for Preparation of Customer Care budget within … Continue reading NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA
TTCL