ARSENAL YAICHAPA BAO 3 – 1 WESTHAM UNITED


image

Washika mtutu wa jiji la london, timu
ya Arsenal imeweza kuibuka mbabe
baaada ya kuichapa goli 3 – 1
vibonde Westham United katika
mchezo uliochezwa kwenye uwanja
wa Emirates.

image

Magoli mawili ya Arsenal yalifungwa
na Lukas Podolski na moja kutoka
kwa Oliver Giroud, wakati kwa
upande wa Westham, mchezaji
Matthew Jarvis aliweza kuipatia timu
yake goli moja la dawa.

Advertisements