HAYA NDIO MADHARA YATOKANANYO NA REDBULL:


image

RED BULL Huuzwa katika maduka
makubwa (Supermarkets) na
madogo (Retail Shops) katika nchi ya
Tanzania na watu wazima na watoto
wetu wengi wana mazoea ya kunywa
kinywaji hiki ambacho kinaweza
kusababisha kifo! Kemikali
zinazopatikana katika kinywaji cha
RED BULL zilitengenezwa maalum
katika maabara za kijeshi za
Marekani kwa ajili ya kutuliza mzuka
wa maaskari wao wakati
wakitekeleza mauaji ya kikatili sana
dhidi ya wananchi wa Vietnam miaka
ya sitini na sabini. Kemikali hizo
zilitumika pia kama dawa ya
kuwazindua watu waliozirai (“stress
coma”).Hazikukusudiwa kutumiwa
kama kinywaji au kilevi cha kawaida!
Duniani kinywaji hiki (RED BULL)
huuzwa kama kitu chakuleta
msismko (Energizer Drink) na
matangazo yake yanataja sifa zake
kama ifwatavyo. Ni kinywaji
kinachompa mtu nguvu ya
kustahimili na umakini. Humpa mtu
kasi ya vitendo” … na kadhalika.RED
BULL imesambaa katika nchi 100
kwa mpigo (nchi masikini!). Na
matangazo yake kuwalenga vijana na
watoto, hasa wanamichezo. Hawa ni
rahisi kushabikia kinywaji hiki kibaya
na kudhurika kiafya baadaye.
Katika hali yake ya matumizi ya sasa
kinywaji hiki kiligunduliwa na
Mjerumani Dietrich Mateschitz
ambaye alikikuta huko Hong Kong
kikiwa ni mojawapo ya madawa
yaliyotumika katika kutengeneza
dawa ya mswaki wa meno. Dawa
hiyo ilitengenezwa kwa kemikali
ambazo zina kafeni na taurini
(“caffeine and “taurine). Mjerumani
huyo aliona vijana wajinga wa huko
wakishabikia unywaji wake akaona
mwanya wa kufanya biashara na
akafanikiwa kukileta ulaya. ATHARI
ZA KUNYWA RED BULL Kinywaji
kinachotengenezwa na kusambazwa
leo hivi kina kemikali mbaya iitwayo
“Glucuronolactone”, kemikali hatari
ambayo ilitengenezwa na idara ya
jeshi la Marekani wakati wa vita na
Vietnam kwa ajili ya kutuliza
mvurugiko wa mwazo wa maaskari
wake uliotokana na mauaji ya
kinyama waliokuwa wanafanya huko
Vietnam. Kwa sababu ya madhara
makubwa ya kinywaji hiki nchi za
FRANCE na DENMARK zimepiga
marufuku kinywaji hiki na kibatiza
jina la “MKOROGO WA UMAUTI”.
Katika nchi hizi, utafiti uligundua
kuwa maaskari wa Marekani
waliotumia kinywaji chenye kemikali
ya “GLUCURONOLACTONE” waliishia
kupata madhara ya maumivu makali
ya kichwa, uvimbe wa ubongo na
hata ugonjwa wa ini (Migraines,
Cerebral tumours and liver diseases).
Ni kwa sababu hiyo wamarekani
waliacha kuwapa maaskari wao
hicho kinywaji katika miaka ya sitini
na sabini. Jambo la kushangaza ni
kuwa lebo ya RED BULL inaonyesha
wazi kuwa kinywaji hiki
kimetengenezwa kwa kemikali hatari
ya “GLUCURONOLACTONE”! Ni
kwasababu hiyo serikali za Denmark
na Ufaransa nazo zikapiga marufuku
unywajiwa RED BULL
amoja na wauzaji wa RED BULL
kuweka bayana kuwa ndani mwake
mna hiyo kemikali hatari, lebo ya
RED BULL hailezi madhara makubwa
yanayoletwa na kemikali hiyo.
Madhara ambayo hayakuwekwa
bayana kwa mnywaji ni kama
yafuatayo: Ni hatari kwa mtu ambaye
hafanyi kazi au mazoezi mazito sana
kukitumia kwani kina tabia ya
kuongeza msukumo wa damu na
kasi ya mapigo ya moyo kiasi
kwamba mtumiaji anaweza kupatwa
na ugonjwa wa moyo.

image

Mtumiaji
anaweza kupatwa na ugonjwa wa
damu kuvuja ubongoni kwani
REDBULL ina kemikali zinazoifanya
damu iwe nyembaba ili moyo upate
kusukuma damu nyingi bila kutumia
nguvu nyingi. Ni hatari kuchanganya
RED BULL na pombe ya aina yoyote
kwani mchanganyiko wake huwa ni
sumu (“Deadly Bomb”) inayoathiri
musuli wa ini la mtumiaji na kuiacha
katika hali ambayo haitapona
kamwe. RED BULL ina vitamini B12
kwa wingi, vitamini ambayo
hutumiwa kama dawa ya
kuwazindua wagonjwa mahututi.
Matumizi ya vitamini hii katika watu
wazima ina athari za kuleta shinikizo
la damu na humfanya mtu ajisikie
kama mlevi. Unywaji wa RED BULL
mara kwa mara huvuruga mfumo ya
neva za fahamu na husababisha
maradhi mithili ya mfadhaiko wa
akili usioponyeka.HITIMISHO: :RED
BULL ni kinywaji HATARI SANA
ambacho hapana budi kipigwe
marufuku katika nchi zote
zinazoendelea kwani ni dhahiri
kimetengenezwa na kusambazwa ili
kiathiri afya za wananchi
wasiojiweza wa nchi hizi masikini.
Kwa kuwa wengi katika nchi hizi
hutumia pombe za kila aina ni wazi
kuwa kinywaji hiki kina lenga
kuwamaliza – kana kwamba ukimwi
uliobuniwa na hao wabaya wetu
hautoshi!

image

Advertisements