MKE WA RAIS WA KENYA AWEKA REKODI YA KUSHIRIKI MBIO NDEFU LONDON UINGEREZA.


image

Mke wa Rais wa sasa wa Kenya,
Magret Kenyatta ameweka rekodi
nzuri ya kuwa mke wa kwanza wa
Rais kuweza kushiriki mashindano ya
mbio ndefu jijini London Uingereza
‘london Marathon’ za kilomita 42 na
kuweza kumaliza kwa kutumia muda
wa saa saba na dakika nne.
Baada ya kumaliza mbio hizo, Bi
magret alipongezwa na mumewe
Rais Uhuru kenyatta pamoja na raia
wa Kenya waishio nchini Uingereza
huku lengo lake likiwa ni
kuchangisha kiasi cha fedha kwa ajili
ya mfuko wake unaolenga
kupunguza vifo vya wamam
wajawazito na watoto wachanga.

image

Advertisements