Nigeria:Wazazi wawasaka watoto msituni


Shule ya mabweni iliyovamiwa huku wasichana zaidi ya miamoja wakitekwa nyara Wazazi wa takriban watoto miamoja waliotekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram wameingia msituni kuwatafuta watoto wao. Wasichana hao walitekwa nyara kutoka shuleni mwao katika eneo moja la vijijini Kaskazini Mashariki mwa Nigeria Jumatatu usiku. Mwandishi wa BBC nchini Nigeria anasema kuwa ni hatari sana kwa wazazi hao hata … Continue reading Nigeria:Wazazi wawasaka watoto
msituni

Double Impact: Jay Z na Beyonce kufanya ziara ya muziki ya pamoja kuanzia June 2014


Jay Z na Beyonce kwenye ziara moja? Patakuwa hapatoshi. Kwa mujibu wa ripoti, wanandoa hao na wazazi wa Blue Ivy watakuwa na ziara ya Marekani. Mtandao wa Page Six umeandika kuwa wapenzi hao wenye nguvu duniani wapo mbioni kutangaza ziara ya viwanjani ambapo watatumbuiza pamoja kwenye viwanja vikubwa 20 nchini Marekani. Wakati ambapo bado tarehe rasmi ya ziara hiyo haijatangazwa, inadaiwa kuwa inaweza kuanza June … Continue reading Double Impact: Jay Z na Beyonce
kufanya ziara ya muziki ya pamoja
kuanzia June 2014

Forbes yatoa orodha ya wasanii 5 wa Hip Hop matajiri zaidi 2014, Diddy awashinda Jay Z, Dre na 50 Cent


Forbes imetoa orodha ya wasanii wasanii watano wa Hip Hop matajiri zaidi 2014. Sean “Diddy” Combs , zamani Puff Daddy au P Diddy na sasa Diddy ndiye anayeongoza katika orodha hiyo kwa kuwa msanii tajiri zaidi wa Hip Hop 2014 kwa mujibu wa Forbes. Utajiri wa Diddy unakadiriwa kuwa dola milioni 700, ikiwa imeongezeka dola milioni 120 kutoka mwaka jana huku vyanzo vya utajiri wake … Continue reading Forbes yatoa orodha ya wasanii 5 wa
Hip Hop matajiri zaidi 2014, Diddy
awashinda Jay Z, Dre na 50 Cent

Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo za MTVMAMA, anawania vipengele viwili


Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za MTV Africa Music Awards (MAMA) KwaZulu-Natal. Muimbaji huyo wa Tanzania anawania vipengele viwili. Katika kipengele cha kwanza cha Best Male, Diamond anachuana na Best Male Anselmo Ralph, Davido, Donald na Wizkid. Katika kipengele cha wimbo bora wa ushirikiano, Best Collabo, wimbo wake ‘My Number 1’ aliomshirikisha Davido, unapambana na ‘Happiness’ wa Mafikizolo f/May D, ‘Kiboko Changu’ wa Amani f/ … Continue reading Diamond Platnumz atajwa kuwania
tuzo za MTVMAMA, anawania
vipengele viwili

Rais Bouteflika kugombea Urais Algeria


Rais Bouteflika anaugua kiharusi Wananchi wa Algeria leo wanapiga kura kumchagua Rais mpya. Rais wa sasa Abdelaziz Bouteflika anawania kwa muhula wa nne. Bwana Bouteflika, mwenye umri wa miaka 77, hajaonekana sana hadharani tangu kupatwa na kiharusi mwaka jana. Pia hajaonekana akifanya kampeini zake hadharani. Uchaguzi huo unashirkisha wagombea sita. Upinzani umefanya maandamano ya kuupinga uchaguzi huo na kuwataka watu kuasusia wakiutaja kama kiini macho. … Continue reading Rais Bouteflika kugombea Urais
Algeria