Iyanya adai kulipwa tshs mil 6.5 na suti mpya kuonekana kwenye video ya Habida


Muimbaji wa Nigeria, Iyanya ameombwa alipwe kiasi kikubwa cha fedha kutokea kwenye video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Kenya, Habida. Habida amedai kuwa uongozi wa Iyanya umedai ulipwe $4000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 6.5 ili kuonekana kwenye video hiyo. Pia walitaka Habida amnunulie Iyanya suti mpya ya kuvaa kwenye video hiyo. Kama hiyo haitoshi, walitaka msanii wa mitindo binafsi na ukijumlisha vyote … Continue reading Iyanya adai kulipwa tshs mil 6.5 na
suti mpya kuonekana kwenye video
ya Habida

Ice Cube awa-diss MTV kwa kumpa tuzo Paul Walker badala ya kupewa yeye


Rapper wa siku nyingi ambaye pia ni muigizaji Ice Cube ameonesha kutoridhishwa na ushindi aliopewa muigizaji wa Fast & Furious marehemu Paul Walker, katika tuzo za ‘MTV Movie Award’ katika kipengele walichopangwa pamoja cha ‘Best Onscreen Duo’. Paul Walker na Vin Diesel ndio walitajwa washindi wa kipengele hicho katika tuzo hizo zilizotolewa April 13 kitu ambacho Ice Cube hakukifurahia. Katika mahojiano aliyofanyiwa na USA Today, … Continue reading Ice Cube awa-diss MTV kwa kumpa
tuzo Paul Walker badala ya kupewa
yeye