Ice Cube awa-diss MTV kwa kumpa tuzo Paul Walker badala ya kupewa yeye


Rapper wa siku nyingi ambaye pia ni
muigizaji Ice Cube ameonesha
kutoridhishwa na ushindi aliopewa
muigizaji wa Fast & Furious
marehemu Paul Walker, katika tuzo
za ‘MTV Movie Award’ katika
kipengele walichopangwa pamoja
cha ‘Best Onscreen Duo’.

image

Paul Walker na Vin Diesel ndio
walitajwa washindi wa kipengele
hicho katika tuzo hizo zilizotolewa
April 13 kitu ambacho Ice Cube
hakukifurahia.
Katika mahojiano aliyofanyiwa na
USA Today, Ice Cube alisema:
“We had the best chemistry of
everybody nominated, for us not to
win was crazy, They should have
gave it to him before he passed
away.”
Hata hivyo baada ya habari hiyo
kuandikwa na mitandao mbalimbali
na mashabiki wa Paul Walker
kumshambulia, Ice Cube
alizungumza kupitia twitter:
“I would never diss the actors who
won. Not even Paul Walker. Seriously
people! [Regarding] The sympathy
vote: We should honor people before
they die. That’s all. Shame on you
[…] reporters.”

Advertisements