RAIS BARACK OBAMA AMKARIBISHA MAKAMU WAKE KWENYE ULIMWENGU WA SELFIE NA INSTAGRAM


Katika kuonyesha kunogewa na mtindo mpya wa picha ‘SELFIE’. Rais wa marekani Barack Obama amemkaribisha makamu wake wa Rais ‘Joe Biden kwenye mtandao wa Instagram kwa staili ya kupiga picha ‘Selfie’ pamoja iliyowekwa kwenye akaunti rasmi ya kiongozi huyo ambayo ina wafuasi wapatao Laki 1 na ushee. Rais Barack Obama na Makamu wake wa Rais Joe Biden wakitokelezea katika SELFIE. ”Found a friend to join … Continue reading RAIS BARACK OBAMA AMKARIBISHA
MAKAMU WAKE KWENYE
ULIMWENGU WA SELFIE NA
INSTAGRAM

RAPA ANDRE JOHNSON WA WU- TANG CLAN AFYEKA NYETI ZAKE.


Hii ndio Dunia, ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Rapa aliyepata umaarufu kupitia kundi la Wu-Tang Clan ‘Andre Johnson’ AKA Christ Bearer amenusurika kupoteza maisha baada kuukata uume wake kwa kisu na kisha kujirusha ghorofani. Tukio hilo lilitokea Jumatano majira ya asubuhi katika jengo la North Hollywood, huku taarifa za polisi zikidai kwamba, licha ya kukata sehemu zake nyeti alipatwa na majeraha kadhaa mwilini mwake … Continue reading RAPA ANDRE JOHNSON WA WU-
TANG CLAN AFYEKA NYETI ZAKE.

WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KWENYE KIVUKO CHA SOWEL WAMCHENJIA NAHODHA WA MELI HIYO.


Juhudi za kukoa watu waliozama kwenye kivuko cha Sowel, Korea Kusini bado zinaendelea huku watu waliopoteza ndugu na jamaa zao wakimjia juu kiasi cha kutaka kumpa kichapo nahodha wa ferry hiyo ‘Lee Joon-Seok’. Miongoni mwa abiria 475 na wafanyakazi wa kivuko hicho ni watu 179 pekee ndio waliookolewa na wengine 271 hawajulikani walipo hadi hivi sasa. Serikali ya Korea kusini imeendelea na utafutaji wawatu waliosalia … Continue reading WALIOPOTEZA NDUGU ZAO KWENYE
KIVUKO CHA SOWEL WAMCHENJIA
NAHODHA WA MELI HIYO.