Makombe feki ya kombe la dunia zaidi ya 1,000 yakamatwa China


Wakati ziara ya dunia ya kikombe halisi cha kombe la dunia ikiendelea kabla ya kukabidhiwa kwa mmiliki wake mpya ambaye ni mshindi wa mwaka huu huko Brazil, maafisa wa China wamekamata makombe feki ya kombe la dunia zaidi ya 1,000, yaliyokuwa yamedhamiriwa kuuzwa katika kona mbalimbali za dunia. makombe feki Ikiwa zimebaki siku chache kabla kombe la dunia 2014 halijaanza kutimua nyasi huko Brazil , … Continue reading Makombe feki ya kombe la dunia
zaidi ya 1,000 yakamatwa China