Wasanii wa Afrika Mashariki wapanga kuzisusia tuzo za MAMA!!


Website ya Nairobi News imeripoti kuwa wasanii wa Afrika Mashariki wanapanga kuzisusia tuzo za MTV Africa Music Awards, MAMA. Diamond ni msanii pekee wa Tanzania aliyetajwa kuwania tuzo hizo mwaka huu Wasanii hao wanazishutumu tuzo hizo kwa kutozitendea haki nchini za Afrika Mashariki mwaka huu na kwa kuwapendelea wasanii wa Afrika Kusini na Nigeria zaidi. “Uganda imeumia zaidi kwasababu kutajwa kwao pekee ni kwa collabo … Continue reading Wasanii wa Afrika Mashariki
wapanga kuzisusia tuzo za MAMA!!

Sudan Kusini:Mauaji ya kikabila Bentiu


Waasi nchini Sudan Kusini Umoja wa Mataifa unasema kuwa vikosi vinavyoipinga serikali nchini Sudan Kusini viliwaua mamia ya watu kwa sababu ya kabila lao wakati vilipouteka mji wa Bentiu wiki jana. Kwa mujibu wa taarifa ya shirika hilo, watu hao walilengwa wakiwa katika maeneo salama walikokuwa wanahifadhiwa kama vile msikitini, makanisani na hospitalini. Umoja huo umesema kuwa watangazji katika baadhi ya vituo vya redio walitumia … Continue reading Sudan Kusini:Mauaji ya kikabila
Bentiu

Mbunge auawa na Al Shabaab Mogadishu


Gari ambalo lilikuwa na bomu lililokuwa limetegwa na Al Shabaab Mbunge mmoja ameuawa katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari mjini Mogadishu Somalia. Kundi la wanagmabo la Al Shabaab limekiri kufanya shambulizi hilo dhidi ya mbunge Isak Mohamed Rino. Mbunge mwingine Mohamed Ali, alijeruhiwa katika shambulizi hilo ambalo limetokea huku serikali ikiwa mwenyeji wa kongamano la usalama. Wanajeshi wa serikali wameweza kupiga hatua … Continue reading Mbunge auawa na Al Shabaab
Mogadishu

Rais wa Korea Kusini alaumu nahodha


Juhudi za uokozi zingali zinaendelea Rais wa Korea kusini Park Geun Hye amemkosoa nahodha na wafanyikazi wa Feri ya abiria iliozama kwa kuikimbia feri hiyo na hivyobasi kufananisha vitendo vyao na mauaji. Matamshi ya rais Park yanafuatia uchapishaji wa mawasiliano kati ya feri hiyo na waokozi ,yaliobaini kwamba kulikuwa na hali ya wasiwasi mbali na kutokuwepo mpangilio wa uokozi. Idadi ya watu waliofariki imeongezeka na … Continue reading Rais wa Korea Kusini alaumu
nahodha

Hii Ndio Video Ya Izzo Bizness Inayochezwa Channel O Kwa Sasa


Ni furaha na hatua kubwa kwa msanii wa Tanzania kuona na kusikia kazi yake ikipewa nafasi kwenye vyombo vya habari kama radio na tv vya nje ya Africa mashariki kwani ubira wa hali ya juu wa kazi hizo ndio huchangia zaidi kazi hio kukubalika. Video ya wimbo wa Izzo Bizness – Tumoghele ft Hance Puff imeanza kuchezwa channel O. Kwenye video hii anaonekana video model … Continue reading Hii Ndio Video Ya Izzo Bizness
Inayochezwa Channel O Kwa Sasa