MLINDA MLANGO WA AC BONGOVILLE ‘SYLVAIN AZOUGOUI’ AFARIKI DUNIA


Mlinda mlango wa klabu ya AC Bongoville ‘Sylvain Azougoui’ amefariki dunia mara baada ya kuumia kichwani wakati wa mchezo wa ligi kuu huko Gabon. Sylvian Azougoui Kipa huyo Raia wa Togo mwenye umri wa miaka 30 alifikwa na umauti akiwa njiani kukimbizwa hospitalini baada ya kutokea kwa tukio hilo, wakati wa mchezo wa ligi dhidi ya Centre Mberi Sportif. Taarifa zimesema Azougoui alikumbana na mkasa … Continue reading MLINDA MLANGO WA AC
BONGOVILLE ‘SYLVAIN AZOUGOUI’
AFARIKI DUNIA

Breaking News: Manchester United yatangaza rasmi uamuzi wa kumfukuza Moyes – hiki ndicho walichopost Twitter


Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini…… Continue reading Breaking News: Manchester United
yatangaza rasmi uamuzi wa
kumfukuza Moyes – hiki ndicho
walichopost Twitter

Hii ndio ndinga mpya aliyonunua Davido kwa zaidi ya Tsh milioni 200


Amepata nomination 4 kwenye MTV Africa music awards 2014 na pia ana mashabiki wengi barani Africa na nje pia kitu ambacho kinamfanya asitulie kila siku anazunguka nchi tofauti akifanya show. Hayo yote na faida nyingine za muziki zinampa kila sababu Davido kununua vitu avipendavyo kama magari kutokana na mapato hayo. Mwaka jana alinunua Mercedes Benz G-Wagon yenye thamani zaidi ya Tsh milioni 300 na hivi … Continue reading Hii ndio ndinga mpya aliyonunua
Davido kwa zaidi ya Tsh milioni 200