Hii ndio ndinga mpya aliyonunua Davido kwa zaidi ya Tsh milioni 200


Amepata nomination 4 kwenye MTV
Africa music awards 2014 na pia ana
mashabiki wengi barani Africa na nje
pia kitu ambacho kinamfanya asitulie
kila siku anazunguka nchi tofauti
akifanya show.
Hayo yote na faida nyingine za
muziki zinampa kila sababu Davido
kununua vitu avipendavyo kama
magari kutokana na mapato hayo.
Mwaka jana alinunua Mercedes Benz
G-Wagon yenye thamani zaidi ya Tsh
milioni 300 na hivi sasa amenunua
gari ya kisasa ya mwaka 2014
Mercedes Benz S63AMG yenye
thamani zaidi ya Tsh milioni 200.

image

Advertisements