Yaliyomo China na Marekani zalaani vita Sudan kusini .


Jeshi lilipoteza mji wa Bentiu ambao sasa uko chini ya waasi China na Marekani zimelaani ghasia zinazoendelea nchini Sudan, kufuatia shutuma kwamba wapiganaji waasi waliwauwa mamia ya raia katika mji wenye utajiri wa mafuta wa Bentiu. Waziri wa mambo ya nchi za nje wa China amezitaka pande zote husika kwenye mzozo huo kufanya mazungumzo ya kisiasa na kuwataka maafisa wa Sudan Kusini kulinda maslahi ya … Continue reading Yaliyomo
China na Marekani zalaani vita
Sudan kusini .

MTANGAZAJI KANDANDA MKONGWE WA ZAMBIA ‘DENNIS LIWEWE’ AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 78


Dennis Liwewe enzi za ujana wake akitangaza mpira Mtangazaji mkongwe wa Kandanda nchini Zambia, Dennis Liwewe amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali kuu ya Levy mwanawasa mjini Lusaka zambia. Mtangazaji wa kandanda ‘Dennis Liwewe’ kipindi cha hivi karibuni kabla ya kuaga Dunia Mtangazaji huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 78 baada ya kusumbuliwa na maradhi ya Ini. Msemaji wa familia alisema taarifa zaidi zitatolewa … Continue reading MTANGAZAJI KANDANDA MKONGWE
WA ZAMBIA ‘DENNIS LIWEWE’
AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 78

JAY Z NA BEYONCE KUWALIPIA ‘KIMYE’ HONEYMOON YA KWENYE BOTI


Waarabu wa pemba huwa na desturi ya kujuana kwa vilemba, licha ya maneno maneno kuzagaa huku na kule tangu Jay Z na Beyonce kutangaza kutohudhuria harusi ya Rapa Kanye na kim kwa kile kilichotajwa kuwa ni kutotaka kuuza sura kwenye kipindi cha familia ya Kardashian ‘Keeping up with the Kardashian’… Hatimaye wakali hao wa Drunk in Love, wamefunguka na kukana shutuma hizo huku wakiahidi kuwalipia … Continue reading JAY Z NA BEYONCE KUWALIPIA
‘KIMYE’ HONEYMOON YA KWENYE
BOTI