Taarifa kuhusu kocha mpya wa Taifa Stars na lini anakuja Bongo


Kocha Mkuu mpya wa Taifa Stars, Martinus Ignatius Maria maarufu kama Mart Nooij anatarajiwa kuwasili nchini Jumamosi alfajiri (Aprili 26 mwaka huu) tayari kwa ajili ya kuanza kazi ya kuinoa timu hiyo. Nooij (59) atawasili saa 7.20 usiku kwa ndege ya Ethiopia Airlines ambapo anatarajia kukutana na waandishi wa habari Jumamosi mchana, saa chache kabla ya kuanza mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars na … Continue reading Taarifa kuhusu kocha mpya wa Taifa
Stars na lini anakuja Bongo

Ni mastaa wawili tu wa Tanzania walio na ‘verified accounts’ za Facebook, wafahamu


Kuwa na likes nyingi Facebook ni kitu kimoja na kuwa na ‘verified account’ ni kitu kingine. Wakati ambapo mastaa wengi wa Marekani wakiwa na akaunti za aina hiyo, bado mastaa wengi wakubwa wa Afrika wana akaunti ambazo hazijawa verified. Lakini kwa Tanzania kuna mastaa wawili hadi sasa walio na akaunti zilizokuwa verified. Mastaa hao ni Miss Universe Tanzania wa zamani, Flaviana Matata mwenye likes 22,961 … Continue reading Ni mastaa wawili tu wa Tanzania
walio na ‘verified accounts’ za
Facebook, wafahamu

AFISA MKUU WA FACEBOOK ‘SHERYL SANDBERG’ AWAHIMIZA WANAWAKE KUSHIKILIA NAFASI MUHIMU KATIKA BIASHARA


Muanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg akiwa ameketi na Sheryl Sandberg Afisa mkuu wa mipango wa Facebook, mwanamama Sheryl Sandberg amewahimiza wanawake wenzake Duniani kote kuacha kubweteka na kuwa tegemezi bali kutakiwa kushikilia nafasi muhimu katika biashara. ”Ukiwa unatafakari kufanya kitu, jiulize nini unachoweza kufanya, ikiwa hauna uwoga na basi ukifanye” alisema Sandberg wakati alipofanyiwa mahojiano na kituo cha utangazaji cha BBC. Sherly Sandberg … Continue reading AFISA MKUU WA FACEBOOK
‘SHERYL SANDBERG’ AWAHIMIZA
WANAWAKE KUSHIKILIA NAFASI
MUHIMU KATIKA BIASHARA