Ni mastaa wawili tu wa Tanzania walio na ‘verified accounts’ za Facebook, wafahamu


Kuwa na likes nyingi Facebook ni kitu
kimoja na kuwa na ‘verified account’
ni kitu kingine. Wakati ambapo
mastaa wengi wa Marekani wakiwa
na akaunti za aina hiyo, bado mastaa
wengi wakubwa wa Afrika wana
akaunti ambazo hazijawa verified.
Lakini kwa Tanzania kuna mastaa
wawili hadi sasa walio na akaunti
zilizokuwa verified.
Mastaa hao ni Miss Universe
Tanzania wa zamani, Flaviana
Matata mwenye likes 22,961 likes
ha

image

di sasa.

Flaviana Matata
Wa pili ni mtangazaji wa idhaa ya
Kiswahili ya BBC, Salim Kikeke
mwenye likes 147,683 hadi

image

sasa

Salim Kikeke
Source: BONGO5

Advertisements