Wabunge sharti waitwe ‘Waheshimiwa’ Kenya


Bunge la Kenya Wakenya wanakabiliwa na tisho la kufungwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya dola 23,000 kwa kukosa kumuita mbunge ‘mheshimiwa’ unapozungumza naye. Sheria hii mpya inayopendekezwa na wabunge wa Kenya inalenga kuhakikisha kila afisaa mkuu wa serikali anapewa heshima anayostahili. Watakaovunja sheria hiyo watapata adhabu kali. Adhabu hiyo itawakuta wale watakaokosa kumpa Rais heshima zake kwa kumuita ‘Mtukufu Rais’, naye spika wa … Continue reading Wabunge sharti waitwe ‘Waheshimiwa’ Kenya

China kutengeneza ‘lifti’ yenye kasi zaidi duniani inayoweza kupanda ghorofa 95 kwa sekunde 45


Kampuni ya Hitachi imetangaza mpango wake wa kutengeneza lifti yenye kasi zaidi duniani (The world’s fastest ultra-high-speed elevator) katika jengo refu la Guangzhou CTF Finance Centre linalojengwa huko Guangzhou, China. Mchoro wa jengo hilo refu la Guangzhou CTF Jengo hilo linalotazamiwa kukamilika ifikapo mwaka 2016, litakuwa na lift hizo zenye uwezo wa kwenda kasi ya kupanda au kushuka ghorofa 95 kwa sekunde 45. Hitachi wamesema … Continue reading China kutengeneza ‘lifti’
yenye kasi zaidi duniani inayoweza
kupanda ghorofa 95 kwa sekunde 45

Davido kutua Dar mwezi ujao kwenye show ya Road to MAMA


Mashabiki wa Davido watakuwa na wasaa mwingine wa kumshuhudia staa huyo mwezi ujao kwakuwa imefahamika kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaokuja Dar es Salaam kwenye show ya Road to MAMA. Road to MAMA ni show za utangulizi za tuzo za MTV Africa ambapo mwaka huu zitafanyika katika nchi tatu, Tanzania, Afrika Kusini na Nigeria. “Exclusive Kwa wale wapenzi wa msanii @Davido wakae Tayari kwani anakuja … Continue reading Davido kutua Dar mwezi ujao
kwenye show ya Road to MAMA

VIDEO: “Lupita Nyong’o Is PEOPLE’s World’s Most Beautiful” on YouTube


Filamu ya kwanza ya Hollywood ilimpa Lupita Nyong’o tuzo ya kwanza ya Oscar. Na sasa jarida la People limemtaja Mkenya huyo kuwa ndiye ‘mtu mrembo zaidi duniani’ kwa mwaka 2014. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa uhariri wa jarida hilo, Jess Cagle Nyong’o alikuwa chaguo sahihi kukava issue ya jarida hilo la kutimiza miaka 25. “She is fantastic. There really was no contest this year. The … Continue reading VIDEO: “Lupita Nyong’o Is PEOPLE’s World’s Most Beautiful” on YouTube